¡Sorpréndeme!

ANC Wampigia Upatu Musalia, Wanachama Wasema Musalia Ndiye Atakayepeperusha Tiketi Ya Urais

2021-09-19 7 Dailymotion

Wanachama Wa Anc Wamesisitiza Kuwa Musalia Mudavadi Ndiye Atapeperusha Bendera Ya Chama Hicho Katika Uchaguzi Mkuu Ujao Chini Ya Mwavuli Wa One Kenya Alliance.